TFF yamuongezea nyundo kocha Luc Eymael TFF Klabu ya soka ya Yanga imemfuta kazi kocha wake mkuu, Luc Eymael kutokana na kauli zisizo za kiungwana na kibaguzi alizozitoa na kusambaa katika mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari. Read more about TFF yamuongezea nyundo kocha Luc Eymael