"Niwe Mbunge, nipeleka shida kwa RC?" - Hapi
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi amesema kuwa hana mpango wa kugombea Ubunge, kwani akiwa Mbunge itamulazimu kupeleka shida za wananchi wake kwa Mkuu wa Mkoa ili amtatulie, kitendo ambacho hayuko tayari kukifanya.

