“Niliitwa Profesa uchwara”- Prof Lipumba

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba.

Chama cha wananchi CUF kimesema kuwa endapo kitashinda katika Uchaguzi Mkuu kwa ngazi ya Urais, kitaunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa ili kuimarisha demokrasia ya kweli na kuleta ushindani wa kisiasa nchini utakaotumikia Watanzania wote kwa misingi ya haki sawa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS