"Simba waachane 'Maabara ya Kienyeji' " - Kindoki Jimmy Kindoki Shabiki kindakindaki wa klabu ya Yanga, Jimmy Shomari maarufu kama 'Jimmy Kindoki' amesema Simba wanapaswa kuachana na masuala ya kienyeji kwakuwa wanakwenda kuwa wa Kimataifa msimu ujao. Read more about "Simba waachane 'Maabara ya Kienyeji' " - Kindoki