Wachezaji wa Juve wakishangilia ubingwa wa Serie kwenye vyumba vya kubadilishia nguo uwanja wa Allianz Stadium
Juventus imetwaa taji la 9 mfululizo la Serie A baada ya ushindi dhidi ya Sampdoria na kuweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza kufikisha idadi hiyo katika ligi tano bora barani Ulaya.