Aliyekuwa kocha wa Yannga Luc Eymael akiongea na waandishi wa Habari.
Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza rasmi kumfuta kazi kocha mkuu wa timu hiyo Mbeligiji Luc Eymael kutokana na kauli zisizo za kiungwana na kibaguzi alizotoa katika vyombo vya habari.