Membe aaleza alivyojifunza Diplomasia kwa Mkapa
Mtia nia wa Urais kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo na kada wa zamani wa CCM Bernard Membe, ametoa rambirambi kufuatia kifo cha aliyewahi kuwa Rais wa Tanzania katika awamu ya tatu mwaka 1995 hadi 2005, Benjamin William Mkapa.

