Alichokisema Manara juu ya kauli za kibaguzi
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Manara amecharuka na kusema kuwa licha ya utani alionao dhidi ya Yanga, lakini kamwe hatokubali kuwaita majina yanayoashiria ubagizo wa rangi kama ambavyo baadhi ambao wameanza kufanya hivyo .

