Yanga yampa tena majibu mazito Morrison

Bernard Morrison

Uongozi wa klabu ya soka ya Yanga umesisitiza kwamba kwa sasa hauhitaji kuzungumzia masuala ya mkataba baina yake na Benard Morrison kwa kuwa kila kitu kipo wazi na iwapo anasema hajasaini basi aende katika klabu inayomhitaji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS