"Waliokosa amani nchini kwao wanakuja TZ" - Waziri Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla kutumia nyumba za ibada kuhubiri suala la amani na utulivu. Read more about "Waliokosa amani nchini kwao wanakuja TZ" - Waziri