Liverpool yaitikisa Man United,Real na Barca juu
Klabu ya Liverpool inaikaribia timu ya Manchester United kuwa klabu yenye thamani kubwa zaidi England baada ya kutwaa taji la Premier League hii ni kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa Brand Finance Football Annual.

