fahamu kisa cha aliyeahirisha kuwania Ubunge
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria Tanzania, Kulwa Mang'ana, amepata ajali katika eneo la Boman'gombe wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, wakati akiwa njiani kuelekea Wilaya ya Siha kwa lengo la kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Ubunge kupitia CCM, ambapo baada ya ajali aliahirisha nia yake hiyo.

