Viongozi wa Dini watoa onyo kwa wanasiasa Viongozi wa Dini. Wakati Tanzania ikielekea kwenye uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, viongozi wa Dini mbalimbali wamewaonya viongozi wa siasa kutotumia Dini kugawanya watu katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu. Read more about Viongozi wa Dini watoa onyo kwa wanasiasa