Maeneo matatu ya nguvu yaliyompa ubingwa Zidane
Real Madrid wametwaa ubingwa wa ligi kuu Hispania LaLiga bada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Villarreal usiku wa jana, ambao pia ulikuwa ni ushindi wa 10 mfululizo tangu kurejea kwa ligi baada ya mapumziko ya Corona.

