PSG na rekodi zake Ufaransa,Neymar shujaa.

Mshambuliaji wa PSG, Neymar Jr akiwa na taji la French Cup walilolitwaa jana baada ya kuifunga Saint Etienne bao 1-0 alilofunga yeye mwenyewe.

Klabu ya Paris Saint German ya imetwaa taji la Ufaransa( French Cup) kwa mara ya 13 baada ya kuifungwa Saint Etienne kwa bao 1- 0 kwenye mchezo uliopigwa usiku wa kuamkia leo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS