"Ukikosa rafiki Mbunge mwaka huu, hupati tena"
Mchakato wa kutafuta Wabunge mwaka huu 2020 umechangamka sana, kwa sababu watu tofauti tofauti na sura mpya zimejitokeza kuchukua fomu ya kugombania majimbo mbalimbali, ambapo unaweza kutumia msemo wa kwamba "ukikosa rafiki Mbunge mwaka huu, hupati tena".

