Baadhi ya Wanafunzi wa Shule za Msingi wakiwa wameshika vyandarua ambavyo vinagawiwa na Serikali ikiwa ni mpango wa kutokomeza ugonjwa wa Malaria Nchini ifikapo mwaka 2030

9 Nov . 2023

Baadhi ya Watendaji wa Serikali na Maafisa wengine wakiwa wameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera kwenye ziara yake Kata ya Lualaje.

9 Nov . 2023