
Sebastien Haller - Mshambuliaji wa Borussia Dortmund
Nyota huyo ambaye anaitumikia FC Utrecht kwa mkopo ataiwakilisha Ivory Coast katika mechi za kuwania kufuzu kombe la Dunia 2026 dhidi ya Burundi na Gambia wiki ijayo.
Mbali na Haller nyota wengine waliorejea katika kikosi hiko ni kiungo wa Nottingham Forest Ibrahim Sangare, Jean-Philippe Gbamin huku nyota wa Manchester United Amad Diallo na Wilfried Zaha wanaendelea kukosekana kwa sababu tofauti tofauti.