.jpg?itok=6LcLVR58×tamp=1698409540)
Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong (kushoto) na Makamu Rais wa AngloGold Ashanti- GGML anayeshughulikia miradi endelevu Ghana na Tanzania, Simon Shayo (kulia) wakipokea zawadi kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Blue Coast.

Picha ya msanii Chrisean Rock

Picha ya Nicki Minaj

Waziri wa Madini wa Malawi, Monica Chang'anamuno (kushoto) akimkabidhi tuzo ya mshindi wa jumla katika kipengele cha uhifadhi mazingira, afya na usalama mahala pa kazi, Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong. Kulia ni Waziri wa Madini, Anthony Mavunde. Hafla hiyo imefanyika jana jijini Dar es Salaam.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Paul Makonda alivyowasili hii leo