P Funk Majani
P Funk Majani ameshea hilo kupitia Insta Story baada ya kuandika "Majani The Album 11th Nov 2023".
Lakini bado ajaweka wazi jina la Album na idadi ya nyimbo zitakazopatikana kwenye Album hiyo.
Godfather wa BongoFleva Producer P-Funk Majani ametangaza tarehe rasmi atakayoachia Album yake mpya ya 'Majani The Album' ambayo ni siku ya Novemba 11 2023.