Kikosi cha Stars kikirejea nchini.
Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania taifa stars ambacho kimeitoa timu ya taifa ya Zimbabwe.
kikosi cha taifa stars kikiwa safarini nje ya nchi.
Rais Kikwete akiwa na Mbwana Samata (Kulia) na Thomas Ulimwengu (Kushoto) alipokuwa ziarani nchini DRC
Baadhi ya wachezaji wa Taifa Stars muda mfupi kabla ya kuanza kwa pambano dhidi ya Zimbabwe
Wachezaji Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wakifanya mazungumzo na shabiki mmoja wa soka baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa malimu nyerere DSM, Mwezi Machi mwaka huu.