Msanii wa muziki nchini Uganda Eddy Kenzo
Mchekeshaji maarufu wa nchini Uganda Patrick Idringi
Msanii wa nchini Uganda Bobi Wine akiwa na mtoto Simon
Msanii wa kundi la Goodlyf nchini Uganda Weasle akiwa na mpenzi wake Samira.
msanii wa nchini Uganda Cindy Sanyu akiwa na mpenzi wake Ken
wasanii wa Uganda Eddy Kenzo na mpenzi wake Rema
Msanii wa Muziki wa nchini Uganda Phina Mugerwa akiwa na mtoto wake
msanii wa muziki nchini Uganda Jose Chameleone
msanii wa muziki wa Uganda Mun G akiwa na mchumba wake Clara



