Washiriki wa semina ya siku moja ya Kimataifa iliyoandaliwa na ubalozi wa China hapa nchini kuhusu viwanda.
Baadhi ya washiriki wa warsha ya siku moja iliyokuwa inaangalia ukosefu wa nguvu kazi katika uchumi. Katikati ni balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak.
Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF Godfrey Simbeye (kulia) akiwa na Mshauri Mkuu wa CESO Bw. Jose Jacome muda mfupi kabla ya kusaini makubaliano hayo.
Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF Dkt Godfrey Simbeye
Alhaji Aliko Dangote (kulia) mfanyabiashara maarufu kutoka Nigeria, akilakiwa na Mwakilishi Mkazi wa kampuni hiyo nchini, Esther Barut
Rais wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bi. Mwantumu Mahiza
Mwenyekiti wa bodi ya TPSF Dkt. Reginald Mengi.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini Tanzania Dkt Godfrey Simbeye.
Mwenyekiti Taasisi ya Sekta Binafsi nchini Tanzania (TPSF), Dkt Reginald Mengi.
Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya sekta binafsi nchini Tanzania (TPSF) Dkt Godfrey Simbeye.