
Diva wa muziki kutoka Kenya, Habida Moloney

Staa wa muziki Wangechi kutoka nchini Kenya
Baadhi ya waokoaji na baadhi ya mahujaji wakiwa wanatoa miili na majeruhiwa tukio la kukanyagana kulipolekea vifo vya watu 717

Aliyekuwa mwigizaji maarufu kutoka nchini Kenya, marehemu Nana Gichuru

Nyota wa filamu wa kimataifa Lupita Nyong'o wa nchini Kenya

Wasanii wa kike wanaorap kutoka Kenya, Shani, Lesynem Junior na Corinne Kahi

Staa wa muziki Nazizi kutoka Kenya akiwa katika mazoezi ya masumbwi

staa wa muziki wa nchini Kenya Prezzo akiwa na mtoto aliyemuasili na kumbatiza jina Gabriel Prezzo

Staa wa muziki wa nchini Kenya Octopizzo na rapa nyota wa Marekani August Alsina

Rapa Octopizzo akiwa na vijana wakati alipotembelea Shirika la Wakimbizi Duniani (UNHCR) nchini Kenya

nyota wa muziki wa injili wa nchini Kenya Size 8

Nyota wa muziki wa miondoko ya genge nchini Kenya, Mejja, Kid Kora na Madtraxx