Kili Tour Kuwasha moto wa Burudani Songea Kesho
Wakazi wa Mji wa Songea na vitongoji vyake sasa ni wakati wao wa kuonja burudani ya ukweli na ya uhakika ya Kilimanjaro Music Tour, ambayo itadondoshwa pale katika uwanja wa Uwanja wa Majimaji na wasanii wakali wanaokubalika hivi sasa hapa Tanzania.

