Ibra Class atwaa mkanda wa WPBF
Bondia Ibra Class alikwenda nchini Zambia kimya kimya baada ya kuwepo mizengwe kutoka kwa baadhi ya watu aliodai kuwa hawapendi maendeleo yake na kuipeperusha vema bendera ya taifa ugenini kwa kurejea na mkanda wa ubingwa wa kimataifa wa WPBF.

