John Legend kuwarusha SA John Legend Supastaa wa muziki John Legend amethibitisha mpango wake mkubwa wa kufanya ziara ya kimuziki huko Afrika Kusini, ambayo itahusisha maonesho makubwa kabisa manne huko Cape Town pamoja na Johanessburg. Read more about John Legend kuwarusha SA