Wakazi Bunda wametakiwa kuchukua tahadhari ya njaa
Mahindi ni moja ya vyakula vinavyotegemewa sana na wakazi wa wilaya ya Bunda
Wakazi wa Bunda Mkoani Mara wametakiwa kutouza chakula na wajiwekee akiba ili kukabiliana na hali ya njaa inayoanza kujitokeza kwenye Baadhi ya wilaya za Mkoa huo kwa sasa na kuathiri maisha yao.