Ngorongoro Heroes yaing'arisha Tanzania
Timu ya Taifa ya soka ya Tanzania kwa vijana wenye umri chini ya miaka 20 Ngorogoro Heroes hii leo imewapa raha watanzania kwa kuifunga timu ya Taifa ya Kenya kwa vijana wenye umri chini ya miaka 20 kwa penalt 4 kwa 3.