Tambwe alalama na Waamuzi

Hamis Tambwe akishangilia goli katika moja ya mechi za ligi kuu ya Tanzania Bara iliyomalizika msimu huu.

Kinara wa ufungaji magoli katika ligi kuu ya soka ya Tanzania Bara wa msimu uliomalizika, Mrundi Amis Tambwe amesema waamuzi wa Tanzania wanachangia kuvuruga ushindani wa ligi kuu ya Tanzania Bara.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS