Wasanii wataka Muungano Uenziwe
Katika kusherekea miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar siku hii ya leo, mbali na shughuli mbalimbali zilizofanyika kitaifa, baadhi ya wasanii wanaofanya game ya muziki Tanzania, wamezungumzia muungano na kusema ni muhimu uenziwe.