Tanzania ina idadi kubwa vifo ajali za barabarani
Idadi ya watu wanaofariki kutokana na ajali za barabarani kwa mwaka katika nchi zinazoendelea ikiwamo Tanzania ni kubwa ambapo takwimu zinaonyesha watu milioni sita hupoteza maisha kila mwaka kutokana na ajali za barabarani.

