Msanii Kefee afariki dunia Marehemu Kefee Don Momoh Msanii wa muziki Kefee Don Momoh kutoka Nigeria, maarufu zaidi kama Kefee ameripotiwa kufariki dunia huko nchini Marekani akiwa katika matibabu, sababu ya kifo chake ikielezwa kuwa ni mapafu yake kushindwa kufanya kazi. Read more about Msanii Kefee afariki dunia