Weasel na Pallaso watibuana?
Kutoka Uganda, Msanii Weasel ameripotiwa kujeruhiwa mkononi katika ugomvi mwingine mpya ulioibuka kati yake na mdogo wake wa damu Pallaso, ugomvi ambao moto wake ulizimwa na "patna" wa Weasel katika sanaa ya muziki, Moze Radio.

