Mgomo wafanyakazi TAZARA bado unaendelea
Mgomo wa wafanyakazi wa Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA), umeendelea leo licha ya Serikali kuahidi kutatua madai yao ikiwa ni pamoja na malipo ya mshahara yao ya kuanzia mwezi wa Februari hadi Aprili.