Pinda awasihi UKAWA kurejea bungeni

Waziri mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda.

Wajumbe wa muungano wa umoja wa katiba ya wananchi UKAWA ndani ya Bunge Maalumu la Katiba, wameombwa kurejea katika bunge hilo ili kuendelea na mchakato wa kujadili rasimu ya pili ya katiba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS