Mbowe hakukopa fedha kwetu - LAPF.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni kwa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (LAPF) Eliud Sanga amekanusha madai kuwa Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe amekopa kiasi cha Sh. Bill. 1 kwenye mfuko huo.

