Lugola achangia bajeti kwa maonesho ya bidhaa

Mbunge wa Mwibara (CCM), Kangi Lugola leo bungeni amesema kuwa Shilingi ya Tanzania inashuka sababu kuna bidhaa nyingi ndogo ndogo tunaagiza kutoka nchi za China na Kenya na kuonesha baadhi yake kama vile Pamba za masikio, penseli, vichongeo, Rula nk

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS