Kesi ya Kaseja hadi Juni 16 mwaka huu Kesi inayomkabili kipa mkongwe Juma Kaseja Juma dhidi ya Yanga, imeshindwa kumalizika hapo jana baada ya Mahakama ya Kazi Kitengo cha Uamuzi kuipiga kalenda kwa mara nyingine hadi juni 16 mwaka huu. Read more about Kesi ya Kaseja hadi Juni 16 mwaka huu