Mei Mosi: wasanii wasema na wafanyakazi
Leo hii ikiwa ni maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani, maarufu kama Mei Mosi wasanii wa muziki wametumia nafasi hii pia kupitia mahojiano yao na eNewz kuzungumza na wafanyakazi ili kuinua uchumi binafsi na uchumi wa taifa.