Mgogoro wa Shamba Arumeru wachukua sura mpya
Mgogoro ulioibuka hivi karibuni baina ya wananchi na muwekezaji wa Shamba la Kahawa la Burka katika Kijiji cha Olasiva Wilayani Arumeru Mkoani Arusha, umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kubainika kwa maslahi ya kisiasa yanayochochea mgogoro huo.