Kinana akosoa sheria ya utumishi wa umma Katibu mkuu wa Chama cha Mapindzuzi CCM, Abdulrahman Kinana ameikosoa sheria ya utumishi wa umma na sheria ya manunuzi ya umma kuwa ni vichaka vya wala rushwa, urasimu na kuongeza gharama za miradi. Read more about Kinana akosoa sheria ya utumishi wa umma