Ligi ya soka Daraja la tatu kuanza Julai mwaka huu Ligi Daraja la tatu inayosimamiwa na Chama cha Soka Mkoa wa Dar es salaam DRFA inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Julai mwaka huu jijini Dar es salaam. Read more about Ligi ya soka Daraja la tatu kuanza Julai mwaka huu