Kikwete aahidi nyongeza ya mishahara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, leo ameongoza Watanzania kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani huku akiahidi kuongezeka kima cha chini cha mishahara kutoka 265,000 hadi kufikia 315,000, ikiwa uchumi utaimarika.