JK aanza ziara ya kiserikali nchini India

Rais Jakaya Kikwete leo ameelekea nchini India ambako atafanya ziara rasmi ya Kiserikali ya siku nne katika Jamhuri ya India kwa mwaliko wa Rais wa India, Mheshimiwa Pranab Mukherjee.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS