Burudani zapamba maadhimisho Mei Mosi
Sherehe za maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani, Mei Mosi kwa mwaka huu ambayo imefanyika kitaifa mkoani Mwanza katika uwanja wa CCM Kirumba na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwepo mgeni rasmi Rais Jakaya Mrisho Kikwete.