Tanzania yafunga rasmi matangazo ya analojia
Tanzania leo inaungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha uzimaji rasmi wa mitambo ya analojia kwa Televisheni huku ikiwa ni miongoni mwa nchi za kwanza za kusini mwa jangwa la Sahara kuingia kwenye mfumo wa digitali.

