Wakulima wafaidika na mradi wa kutafutiwa Masoko
Mradi wa kuvijengea uwezo vikundi vya wakulima ili viweze kuongeza uzalishaji na kufikia masoko vilivyo chini ya mtandao wa wakulima wadogo Tanzania,MVIWATA umemaliza kero ya wakulima wa Kiteto, Mkoani Manyara waliokuwa wakinyonywa na wafanyabiashara

