Waliotoa hati za kujenga mabondeni kukiona

Serikali imesema itachukua hatua za kinidhamu na za kisheria kwa watendaji wa serikali waliotoa hati za makazi ya kudumu kwa wananchi wanaoishi mabondeni wakati wakijua maeneo hayo sio rasmi kwa makazi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS