AZAKI zatoa tamko huku hali ya kisiasa Zanzibar
Asasi za kiraia nchini (AZAKI), wametoa tamko kuwataka wanasiasa Visiwani Zanzibar kuwa na utaratibu kutolewa taarifa ya maendeleo ya majadiliano yanayofanywa na viongozi wanaokutana kuhusu suala la muafaka wa kisiasa Visiwani humo.